Home Uncategorized EXCLUSIVE: SIMBA YAMTANGAZA BENO KAKOLANYA

EXCLUSIVE: SIMBA YAMTANGAZA BENO KAKOLANYA


UONGOZI wa Simba leo umemtangaza aliyekuwa mlinda mlango wa Yanga Beno Kakolanya kujiunga na kikosi hicho msimu ujao kwa kumpa kandarasi ya miaka miwili. Kakolanya alivunja mkataba wake na Yanga kwa kudai stahiki zake hali iliyo
Simba sasa inakuwa na magolikipa watatu ambao ni pamoja na Aishi Manula na Deogratius Munishi 

SOMA NA HII  NYOTA HAWA WATATU KIKOSI CHA KWANZA SIMBA WAMSHANGAZA MBELEGIJI