Home Uncategorized Timu za Ligi kuu msimu 2019/2020 hizi hapa

Timu za Ligi kuu msimu 2019/2020 hizi hapa

Baada ya mechi za mtoano kumalizika,  Mwadui Fc na Kagera Sugar zimeungana na timu 18 za awali zikiwemo timu mbili zilizopanda daraja msimu 209/2020. Msimu huo sasa utawaka moto kwa timu hizi hapa chini.


# Timu P F A GD Pts
0 Alliance FC 0 0 0 0 0
0 Azam FC 0 0 0 0 0
0 Biashara FC 0 0 0 0 0
0 Coastal Union FC 0 0 0 0 0
0 JKT Tanzania SC 0 0 0 0 0
0 KMC FC 0 0 0 0 0
0 Kagera Sugar FC 0 0 0 0 0
0 Lipuli FC 0 0 0 0 0
0 Mbao FC 0 0 0 0 0
0 Mbeya City FC 0 0 0 0 0
0 Mtibwa Sugar FC 0 0 0 0 0
0 Mwadui FC 0 0 0 0 0
0 Namungo FC 0 0 0 0 0
0 Ndanda FC 0 0 0 0 0
0 Polisi Tanzania 0 0 0 0 0
0 Ruvu Shooting 0 0 0 0 0
0 Simba SCSimba SC 0 0 0 0 0
0 Singida Utd FC 0 0 0 0 0
0 Tanzania Prisons 0 0 0 0 0
0 Yanga SC 0 0 0 0 0

Mwisho wa Ligi Kuu:

  • Nafasi ya Kwanza na ya Pili: Ligi ya Mabingwa Afrika
  • Nafasi ya Tatu: Kombe la Shirikisho la Afrika
  • Nafasi ya Nne: Kombe la shirikisho itategemea kama mshindi wa nafasi ya nne ni bingwa wa FA (ASFC)

Kushuka:

Nafasi ya ya 19 na 20: Zitashuka daraja

Nafasi ya 17 na 18: Zitacheza mechi ya mtoano na timu ambazo zimeshika nafasi ya pili katika makundi ya FA.


Ushindani wa timu hizi ndio utafanya ligi yetu kuwa bora zaidi. Kandanda.co.tz itaendelea na utaratibu wa kusheherekea  na wafungaji wa Mabao kila mwezi na mwisho wa msimu kumpa tunzo mfungaji bora, Galacha wa Magoli wa Kandanda.

The post Timu za Ligi kuu msimu 2019/2020 hizi hapa appeared first on Kandanda.

SOMA NA HII  MBELGIJI WA YANGA:KAGERA SUGAR BAHATI YAO WALITUOTEA, LEO USHINDI HALALI YETU