Home Infinix UMESIKIA MDAU ….HILI LA Infinix NA ZUCHU SIO LA KUKOSA MTU WANGU…NI...

UMESIKIA MDAU ….HILI LA Infinix NA ZUCHU SIO LA KUKOSA MTU WANGU…NI KWA MGUSO WA NOTE 12 VIP TU …?


Infinix Tanzania kufanya punguzo kubwa la bei wiki hii tarehe 11/06/2022 kwenye maduka yao ya Infinix Smart Hub Mlimani City na Infinix Smart Hub China Plaza Kariakoo.

Siku hii ambayo imetambulishwa kama BIG SALE itakuwa na shughuli mbali mbali kama kukata keki na kuzindua rasmi na kuikaribisha simu yao mpya ya Infinix NOTE 12 VIP madukani, Simu ambayo imekuja na rekodi ya kuwa simu inayochaji haraka zaidi duniani kwa dakika kumi na saba tu simu inakuwa imejaa 100%.

Mbali na kujaza kwa dakika kumi na saba, simu hii ina uwezo mkubwa wa kamera ya MP 108, 120Hz refresh rate pamoja na kioo chenye teknolojia ya Amoled yenye kuonesha hadi rangi bilioni moja huku ikiuzwa kwa bei rafiki kulinganisha na specifications zake.

Wateja wote watakaonunua simu hii siku hii watapata papo kwa hapo zawadi kutoka Infinix zenye thamani ya hadi ya Laki mbili na kukabidhiwa zawadi zao na Zuchu.

Siku hii ya mauzo ya Infinix itakuwa na shughuli kama kukata keki na Zuchu msanii maarufu kutoka WCB ndiye atakayekata keki na kuwalisha wateja wa Infinix ikiwa ni pamoja na kupiga picha na kuwahudumia wateka kwenye duka la Mlimani City.

Infinix wanawakaribisha wateja wake wote kufika madukani na kushiriki kwenye tukio hili na kupata nafasi ya kushuhudia simu ya Infinix NOTE 12 VIP pamoja na balozi wake msanii wa kizazi kipya Zuchu akitoa huduma ya VIP kwa wateja wake.

Pia itakuwepo michezo mbali mbali na utapata nafasi ya kushiriki pamoja na balozi wa infinix zuchu.

Kwenye ukurasa wa @infinixmobiletz kuna challenge ya kuwatafuta washindi hamsini ambao pia watakabidhiwa zawadi na msanii Zuchu kwenye duka la Infinix hapo kesho. Tembelea kurasa za @infinixmobiletz au piga nambari ya simu 0743558994 kufahamu zaidi kuhusu

Infinix NOTE 12 VIP pamoja na siku hii ya BIG SALE.

#INFINIX NOTE 12 VIP TAKE THE LEAD.

SOMA NA HII  YANGA YA KIMATAIFA YASUKWA..GSM WAFUNGUKA ...KIUNGO ALIYEAIBISHWA NA CHAMA AFUNGUKA HAYA...