Uncategorized

STARS KUFANYA MAAJABU LEO AFCON

admin July 1, 2019 10:20 am


MSHAMBULIAJI wa timu ya Taifa ya Tanzania, ‘Taifa Stars’ Simon Msuva amesema kuwa leo watapambana kufanya vema kwenye mchezo wa mwisho dhidi ya Algeria.

Stars haijawa na matokeo chanya kwenye michuano ya Afcon inayoendelea nchini Misri baada ya kupoteza michezo yote miwili waliyocheza hatua ya makundi na leo watamenyana na Algeria.

“Tulipoteza mchezo wa kwanza dhidi ya Senegal, tuliumia, tukapoteza pia mbele ya Kenya tuliumia zaidi ila kwa sasa tumejifunza kupitia makosa ni zamu yetu kufanya vizuri na tuna imani ya kufanya vizuri,” amesema.

SIMBA YAINGIA MKATABA NA KAMPUNI YA A-ONE, YAVUNA MAMILIONI WAWA APIGWA PINI SIMBA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply