Uncategorized

DILI LIKIKAMILIKA LUKAKU KUSEPA UNITED MAZIMA

admin July 26, 2019 2:41 pm


ROMELU Lukaku Muda mchache mara baada ya Manchester United kurejea England ikitokea ziarani barani Asia amekwea pipa kuelekea nchini Ubelgiji.

Habari zinaeleza kuwa Lukaku ameamua kwenda kwao Ubelgiji kwa ajili ya kukamilisha mazungumzo na Inter Milan ya Italia.

Mipango ikamilika huenda msimu ujao akaitumikia timu ya Inter Milan ambao wamekuwa wakihaha kuipata saini yake.

SERIKALI YARUHUSU WACHEZAJI KUMI WA KIGENI KUSAJILIWA BONGO, MASHARTI YAKE SI MCHEZO KOCHA STARS: TUPO TAYARI KUPAMBANA NA KENYA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply