Home Uncategorized BOCCO ALIAMSHA AFRIKA KUSINI, MBRAZILI NAYE AANZA KAZI SIMBA IKIMPIGA MTU 4-0

BOCCO ALIAMSHA AFRIKA KUSINI, MBRAZILI NAYE AANZA KAZI SIMBA IKIMPIGA MTU 4-0


JOHN Bocco, nahodha wa Simba amedhihirisha makali yake leo ambapo amefunga mabao 2 kwenye ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Orbet TVET.

Mchezo wa leo ni wa kwanza kwa Simba wa kirafiki nchini Afrika Kusini.

Mabao ya Bocco yamefungwa dakika ya 9, 28 huku bao la tatu likipachikwa na Hassan Dilunga na lile la nne likipachikwa na mbrazil  Da Silva dakika ya 64.

SOMA NA HII  LAMINE MORO YUPO FITI KWA SASA KWA MAPAMBANO