Home Uncategorized MENEJA WA JUVENTUS AITAKA SAINI YA BEKI WA SPURS

MENEJA WA JUVENTUS AITAKA SAINI YA BEKI WA SPURS


Maurizio Sarri meneja wa Juventus ameutaka uongozi ufanye jitihada za kuipata saini ya beki wa Totthenham Danny Rose.

Bosi huyo mpya wa Juventus ambaye ametokea Chelsea amekubali uwezo wa beki huyo mwenye umri wa miaka 29 ili atue Italia.

Spurs kwa sasa wana mkwanja mrefu baada ya kumuuza beki wao mwingine Kieran Trippier ambaye amejiunga na Atletico Madrid kwa dau la pauni milioni 20
Trippier dili lake lilikamilika kabla ya Spurs kukwea pipa kuelekea kambini Singapore kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao.
 Sarri amesema kuwa bado ananafasi ndani ya kikosi chake kwa ajili ya beki mpya huku akitaka kumtoa Luca Pellegrini kwa mkopo kwenda Cagliari.
SOMA NA HII  LAMINE MORO ANA KICHWA LAKINI MIGUU IMEMZIDI NGUVU....