Home Uncategorized DILI LIKIKAMILIKA LUKAKU KUSEPA UNITED MAZIMA

DILI LIKIKAMILIKA LUKAKU KUSEPA UNITED MAZIMA


ROMELU Lukaku Muda mchache mara baada ya Manchester United kurejea England ikitokea ziarani barani Asia amekwea pipa kuelekea nchini Ubelgiji.

Habari zinaeleza kuwa Lukaku ameamua kwenda kwao Ubelgiji kwa ajili ya kukamilisha mazungumzo na Inter Milan ya Italia.

Mipango ikamilika huenda msimu ujao akaitumikia timu ya Inter Milan ambao wamekuwa wakihaha kuipata saini yake.

SOMA NA HII  MKALI WA PASI ZA MWISHO YANGA AFICHUA KILICHO NYUMA YA KUPETA KWAKE