Home Uncategorized HARUNA NIYONZIMA WA SIMBA KUTIMKIA RWANDA

HARUNA NIYONZIMA WA SIMBA KUTIMKIA RWANDA

HARUNA  Niyonzima kiungo mwenye uwezo wa kuchezea mpira uwanjani namna anavyotaka inaelezwa kuwa amejiunga na klabu ya AS Kigali ya Rwanda.

Niyonzima amejiunga na AS Kigali ambayo inashiriki michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika (Caf) amemaliza mkataba wake na Simba hivyo anajiunga akiwa mchezaji huru.

AS Kigali ni mabingwa wa FA nchini Rwanda, ataitumikia timu hiyo kwa kandarasi yake ya mwaka mmoja.

SOMA NA HII  YANGA DIMBANI LEO DHIDI YA AL AHLY