Home Uncategorized INSTAGRAM, FACEBOOK NA WHATSAPP ZAKUMBWA NA TATIZO DUNIA NZIMA

INSTAGRAM, FACEBOOK NA WHATSAPP ZAKUMBWA NA TATIZO DUNIA NZIMA


MITANDAO maarufu duniani ya Instagram na Facebook na WhatsApp imekumbwa na tatizo la kuwa chini dunia nzima ambapo baadhi ya watumiaji wameeleza kushindwa kupakia picha, hukuwa wengine wakisema hawawezi kuperuzi picha.

Wamiliki wa mitandao hiyo bado hawajatoa taarifa rasmi juu kuhusu chanzo cha Matatizo hayo, huku watumiaji wengi duniani wakilalamika Kutokana na matatizo hayo.

SOMA NA HII  NI NYONI NA YONDANI TU..ISHU NZIMA IPO HIVI..!!