Home Uncategorized KMC KIMATAIFA USO KWA USO NA NYOTA WA SIMBA

KMC KIMATAIFA USO KWA USO NA NYOTA WA SIMBA

TIMU ya KMC wana kino kwenye michuano ya Kimataifa ambayo wanashiriki msimu huu kwenye kombe la Shirikisho wao wanakwenda Rwanda.

Mchezo wa kwanza utakuwa dhidi ya AS kigali ambao unatarajiwa kuchezwa kati ya Agosti 9/11 mwaka huu.

AS Kigali watakutana na fundi wa kuchezea mpira aliyekuwa akiitumikia Simba, Haruna Niyonzima.

Mchezo wa marudiano utakwa kati ya Agosti 23/25 nchini Tanzania hii ndio safari ya kimataifa ya wana KMC.

SOMA NA HII  Simon Msuva aingia katika rekodi kuu baada ya miaka 39