Home Uncategorized KOCHA STARS: UWEZO WANGU UTAZUNGUMZA UWANJANI

KOCHA STARS: UWEZO WANGU UTAZUNGUMZA UWANJANI


KOCHA msaidizi wa timu ya Taifa ya Tanzania,’Taifa Stars’ Seleman Matola amesema kuwa anastahili kuwa Kocha wa timu ya Taifa Kwa kuwa anauwezo mkubwa.

Matola amesema kuwa ameteuliwa kutokana na uwezo alionao hivyo atapambana kufanya makubwa yatakayoonekana ndani ya uwanja.

“Kocha Mkuu mwenyewe, Ettiene Ndayiragije ndiye ameniteua hivyo kuna kitu amekiona na nitafanya kazi kweli kwani uwezo ninao,” amesema.
SOMA NA HII  MUONEKANO WA GAZETI LA CHAMPIONI LEO JUMAMOSI NI BAB KUBWA AISEE, PATA NAKALA YAKO SASA