Home Habari za michezo CHEZA BUREE NA USHINDE KUPITIA CASINO ZA MERIDIANBET….

CHEZA BUREE NA USHINDE KUPITIA CASINO ZA MERIDIANBET….

Meridianbet

Hii nayo sio ya kukosa, nakupa mchongo wa uhakika kama wewe hukuwahi kuongeza salio kwenye akaunti yako ya Meridianbet basi hii inakufaa. Meridianbet wanakupa mpaka 200% ya bonasi ya kasino ya mtandaoni. Mchongo uko hivi>>>

Kila mchezaji aliyejisajili  kwenye tovuti  ya Meridanbet.co.tz au APP na kuweka pesa  kwa mara kwanza kwa  kiasi kinachoanzia  TZS 10,000  na zaidi kisha kucheza  kwenye kasino ya mtandaoni au tiketi sawa na kiwango hicho angalau mara moja (x1 ) atapokea  mizunguko 50 ya bure + 200% bonasi ya kasino (kiasi cha juu cha bonasi ni 2,500,000 TZS).

Wachezaji lazima waweke na kucheza pesa yao walioweka kwa mara ya kwanza ndani ya masaa 72 ya kwanza kutoka wakati wa usajili wao. Ikiwa wataweka baada ya masaa 72, hawatastahili Promosheni hii na pia Tiketi za Turbo Cash hazitahesabiwa kama kiasi kilichochezwa.

Kiasi cha bonasi ya kasino ya mtandaoni kilichopokelewa lazima kichezwe mara 100 kwenye michezo mbali mbali ya kasino ya mtandaoni kutoka kwenye ukurasa wa Michezo ya Sloti ili fedha zihamishwe kama pesa halisi kwenye akaunti ya mchezaji.

Ikiwa mchezaji alipokea Bonasi ya Kasino ya Mtandaoni ya TZS 20,000 atahitaji kucheza jumla ya TZS 2,000,000  katika pesa za Kasino ili aweze kuhamisha faida yake kuwa pesa halisi.

Baada ya Bonasi ya Kasino ya Mtandaoni kutumiwa kufikia idadi inayohitajika, kiasi ambacho kitapatikana wakati huo kitaamishwa mara moja kwenye pesa halisi na kitaweza kutumika kuchezea michezo ningine kwenye tovuti ya Meridianbet.co.tz au mchezaji anaweza kukitoa. Dau la juu kwenye mzunguko moja wa kasino ya mtandaoni wakati wa promosheni hii ni TZS 10,000 na bonasi ya juu kutolewa ni TZS 2,500,000/=

Kiwango cha juu utakachoweza kuamishwa kuwa pesa taslimu kutoka kwenye promosheni hii ni TZS 100,000/=

NB: Jisajili na Meridianbet upate mizunguko ya bure kucheza kasino ya mtandaoni, lakini pia kufahamu Zaidi kuhusu promosheni hii na kucheza ni hapa.

SOMA NA HII  BAADA YA KUTUA CHATO...KMC WATEMBELEA KABURI LA MAGUFULI...WAWEKA HISTORIA YA MAPOKEZI...