Home Uncategorized LAURENT APANGA KUISHTAKI ARSENAL

LAURENT APANGA KUISHTAKI ARSENAL



LAURENT Koscienly anapanga kuuchukulia hatua za kisheria uongozi wa Arsenal kutokana na kupewa ofa ndogo ya mshahara.

Koscienly aligoma kwenda kwenye kambi ya Arsenal nchini Marekani akaitaka kulazimisha kuondoka klabuni hapo.

Beki huyo raia wa Ufaransa anataka kusepa baada ya klabu yake kumueleza kuwa itamuongezea mkataba ila inabidi akubali kulipwa nusu ya kile alichokuwa anapata awali.

Kwa sasa anapokea mshahara wa pauni 90,000 kwa wiki hivyo Arsenal ipo tayari kumpa mkataba wa miaka miwili ila akubali kupokea pauni 45,000 sawa na sh 129.

SOMA NA HII  COASTAL UNION: TUMEADHIBIWA KWA MAKOSA YETU WENYEWE