Home Uncategorized NIYONZIMA WA SIMBA KUIBUKIA CONGO

NIYONZIMA WA SIMBA KUIBUKIA CONGO


Imeelezwa kuwa kiungo wa Simba, Haruna Niyonzima yupo kwenye mazungumzo ya mwisho na timu ya As Vita ya Congo.

Niyonzima ametangaza kuachana na Simba baada ya mkataba wake kumalizika hivyo kwa sasa yupo huru kujiunga na timu atakayokubaliana nayo.

Niyonzima amesema kuwa wakati wake ukifika wa kutaja timu atakayotua msimu mpya atawaambia mashabiki.

SOMA NA HII  VIDEO: KAKOLANYA AFUNGUKA SABABU ZA KUSAINI SIMBA, KUHUSU TAIFA STARS .......