Home Uncategorized UNITED WANAJIPIGIA TU, INTER MILAN LEO WAKIONA CHA MOTO

UNITED WANAJIPIGIA TU, INTER MILAN LEO WAKIONA CHA MOTO


MANCHESTER United leo imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Inter Milan mchezo wa kirafiki uliochezwa uwanja wa Taifa wa Singapore.
United imecheza mchezo wa kiushindani na mzuri na walikuwa wakitengeneza nafasi nyingi za wazi.
Mshambuliaji chipukizi Mason Greenwood amezidi kutakata baada ya kufunga bao pekee la ushindi leo.
Huu unakuwa mchezo wake wa pili kufunga kwani hata mchezo wake wa kwanza dhidi ya Leeds alipachika pia bao mshambuliaji huyo mwenye miaka 17.
SOMA NA HII  YANGA WATANGAZA KUFANYA MAANDAMANO, SIMBA YATAJWA - VIDEO