Home Uncategorized UNITED WAWEKEWA UGUMU KUMPATA NYOTA WA NEWCASTTLE UNITED

UNITED WAWEKEWA UGUMU KUMPATA NYOTA WA NEWCASTTLE UNITED


SEAN Longstaff nyota wa Newcasttle United ameingizwa kwenye rada za Manchester United kwa ajili ya msimu ujao huku ikielezwa kuwa kuna ugumu wa kumpata.

Meneja mpya wa Kocha huyo, Steve Bruce amesema kuwa hana mpango wa kumuuza msimu ujao.

Bei ya kumpata nyota huyo ilikuwa ni pauni milioni 50 na kiungo huyo amecheza jumla ya mechi 13 mpaka sasa.

SOMA NA HII  MANCHESTER UNITED, LIVERPOOL, ARSENAL ZAKUTANA KWA NYOTA HUYU