Home Uncategorized WATANO WAPEWA MKONO WA KWA HERI SIMBA

WATANO WAPEWA MKONO WA KWA HERI SIMBA



Ofisa Mtendaji Mkuu wa Simba, Crescentius Magori amesema kuwa tayari msimu ujao hawatakuwa na nyota wao watao ndani ya kikosi cha Simba.

Magori amesema wachezaji hao tayari wamemaliza kandarasi na Simba na wamewaambia kwamba hawatawapa  kandarasi mpya mpaka wakati mwingine.

Nyota ambao tayari wamemaliza mkataba ndani ya Simba ni pamoja na Haruna Niyonzima ambaye kwa sasa amepata timu mpya Rwanda, Emmanuel Okwi, Zana Coulibaly, James Kotei ambaye amejiunga na timu ya Kaizer Chief,Salim Mbonde.

SOMA NA HII  KIPCHONGE MAMBO MAGUMU ASHINDWA KUTETEA TAJI LAKE KISA MAUMIVU YA NYONGA