Home Uncategorized WAWA APIGWA PINI SIMBA

WAWA APIGWA PINI SIMBA

PATRICK Wawa, beki kisiki wa Simba ameongeza kandarasi ya mwaka mmoja kuendelea kuitumikia timu yake.


Wawa alikuwa miongoni mwa wachezaji waliotwaa kombe la Ligi Kuu Bara msimu wa 2018/19 hivyo anarejea kuendelea kuongoza kazi ya ulinzi ili kutetea taji tena msimu ujao.
SOMA NA HII  SIMBA KUSHUSHA WAMBA HAWA WANNE KUZIBA MAPENGO