Home Uncategorized HARMONIZE AZIDI KUUMIZA VICHWA WATU, WCB WATOA TAMKO JINGINE JUU YAKE –...

HARMONIZE AZIDI KUUMIZA VICHWA WATU, WCB WATOA TAMKO JINGINE JUU YAKE – VIDEO


HATIMAYE uhakika wa taarifa za kuwa mkali wa Kwangwaru Harmonize hayupo tena katika Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB) umethibitishwa na meneja wa kimataifa wa Diamond Platinumz, Sallam SK.

Kwa muda mrefu sasa kumekuwa na taarifa zinazosambaa katika mitandao ya kijamii kuwa Harmonize amejitoa katika Lebo ya WCB lakini palikosekana mtu wa kuthibitisha taarifa hizo.

Akizungumzia ishu hiyo, Sallam SK alisema: “Ni kweli Harmonize ameandika barua ya kuomba kujitoa katika Lebo ya Wasafi , hivyo sisi kama uongozi hatujaona kama hilo ni tatizo kwa sababu mwisho wa siku hauwezi kumzuia mtu kufanya kile ambacho anaona kwake kina manufaa zaidi.

SOMA NA HII  PHIRI KAMA UTANI ILA NDO ANAKUJA IVO