Home Uncategorized HUU HAPA UZI WA POLISI TANZANIA MSIMU UJAO

HUU HAPA UZI WA POLISI TANZANIA MSIMU UJAO

KAZI imeanza, timu ya Polisi Tanzania imetambulisha uzi mpya ambao utatumika msimu ujao kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara.

Polisi Tanzania ipo chini ya Kocha, Seleman Matola na ni miongoni mwa timu ambazo zitashriki Ligi Kuu Bara msimu ujao.

 Ofisa Habari wa Polisi Tanzania, Frank Lukwaro amesema kuwa watatumia rangi ya Blue wakiwa nyumbani na watatumia rangi nyeupe wakiwa ugenini kwa msimu wa mwaka  2019/2020.

SOMA NA HII  MTIBWA SUGAR YAWATUMA WACHEZAJI KUWA MABALOZI KWA JAMII