Home Uncategorized KICHAPO CHA 1-0 KUTOKA RUVU CHAAMSHA MACHUNGU YANGA, UONGOZI WATOA TAMKO ZITO

KICHAPO CHA 1-0 KUTOKA RUVU CHAAMSHA MACHUNGU YANGA, UONGOZI WATOA TAMKO ZITO


Baada ya kupokea kichapo cha bao 1-0 dhidi ya Ruvu Shooting katika mchezo wa kwanza wa Ligi Kuu Bara jana, uongoz wa klabu ya Yanga kupitia Ofisa Habari wake, Dismas Ten, umetoa tamko.

“Kuna wakati mpira wa miguu unakupa matokeo usiyoyatarajia, poleni wananchi wote kwa matokeo ya leo, tumepoteza mchezo ni kweli, inauma sana,  hatujatolewa kama wao, hii ni Ligi Kuu Vodacom (2019/20) na ndiyo kwanza inaanza.”

SOMA NA HII  SIMBA MSIMU UJAO NI ZAIDI YA SIFA, ASILIMIA 99 KAHATA KUMWAGA WINO - VIDEO