Home Uncategorized MANULA: KAKOLANYA HAWEZI KUTISHIA NAFASI YANGU – VIDEO

MANULA: KAKOLANYA HAWEZI KUTISHIA NAFASI YANGU – VIDEO


Kipa watimu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ Aishi Manula amesema hatishwi na uwezo wa mlinda mlango msaidizi wake Beno kakolanya bali analoliangalia kwa sasa ni uwezo wake wakuendelea kubaki kwenye nafasi yake hiyo. 

SOMA NA HII  AZAM FC: TUPO TAYARI KUPAMBANA NA NAMUNGO