Home Uncategorized MESSI ASIMAMISHWA KUSHIRIKI MICHUANO YA KIMATAIFA MIEZI MITATU

MESSI ASIMAMISHWA KUSHIRIKI MICHUANO YA KIMATAIFA MIEZI MITATU


LIONEL Messi, nahodha wa timu ya Taifa ya Argentina amesimamishwa kutoshiriki michuano ya kimataifa Kwa muda wa miezi mitatu.

Hatua hiyo imefikia baada ya Messi kusema kuwa michuano ya Copa Amerika imetawaliwa na mazingira ya rushwa.

Pia nyota huyo anayekipiga Barcelona amepigwa faini ya dola milioni 50,000 amepewa siku saba za kupinga maamuzi.

Alitolewa Kwa kadi nyekundu kwenye mchezo wa kumtafuta mshindi wa tatu wakati timu yake ikishinda mabao 2-1 dhidi ya Chile ndipo baadaye akasema kuwa Copa America ni maalumu kwa ajili ya Brazil.

SOMA NA HII  MTIBWA SUGAR YAMALIZANA NA MAJEMBE MANNE FASTA