Home Uncategorized REKODI ZA MBRAZIL WA YANGA BADO ZINAPETA TU BONGO

REKODI ZA MBRAZIL WA YANGA BADO ZINAPETA TU BONGO


NGAO ya jamii kwenye jumla ya mechi 11 zilizochezwa tangu 2001 mabao 22 tu yamefungwa.

Katika mabao hayo hakuna hat trick hata moja mpaka sasa rekodi zinamkumbuka Mbrazili, Geilson Santos ‘Janja’ ambaye ni miongoni mwa waliotupia mabao mawili.

Wale wote waliofurukuta waliishia kutupia mabao hayo mawili tu nao ni pamoja na John Bocco, Donald Ngoma, Jaja.

Baadhi ya waliotupia moja ni Kagere, Kapombe, Dilunga, Sabato,Boban

SOMA NA HII  VIDEO: TAZAMA LILIPO ENEO LA NYUMBA YA DIAMOND PLATNUMZ