Home Uncategorized LIVE: SIMBA 2-1AZAM FC

LIVE: SIMBA 2-1AZAM FC


UWANJA wa Taifa kwa sasa mchezo unaoendelea ni kati ya Simba dhidi ya Azam FC.

Huu ni mchezo wa ngao ya Jamii, Simba inaongoza kwa mabao 2-1.

Yote yamefungwa na Shibob dakika ya 17 na 21 huku lile la Azam FC likifungwa na Idd Chilunda.

Azam FC walianza kuandika bao moja matata sana kupitia kwa Idd Chilunda dakika ya 13 kabla ya Shibob kusawazisha kwa kichwa dakika ya 16 kwa upande wa Simba.

SOMA NA HII  MASHINE HIZI 6 SIMBA UHAKIKA, MABOSI WAMEMALIZANA NAO KILA KITU