Home Uncategorized TAIFA KUMEANZA KUNOGA, HISTORA MPYA KUANDIKWA LEO

TAIFA KUMEANZA KUNOGA, HISTORA MPYA KUANDIKWA LEO


LEO ni kilele cha SportPesawikiyaMwananchi uwanja wa Taifa ambapo tayari mashabiki wameanza kujitokeza kwa wingi.

Mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Dr. Harrison Mwakyembe.

Kaimu Katibu wa Yanga, Dismas Ten amesema ni siku mpya ya kuandika historia mpya kwa wapenzi na mashabiki wa Yanga.

SOMA NA HII  HIVI NDIVYO WACHEZAJI YANGA WALIVYOMKOSESHA MKWASA LAKI MBILI NA TISINI