Home Uncategorized TANZIA: NYOTA WA ZAMANI WA TIMU YA GHANA AFARIKI DUNIA

TANZIA: NYOTA WA ZAMANI WA TIMU YA GHANA AFARIKI DUNIA


MCHEZAJI wa zamani wa timu ya Ghana, Junior Agogo amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 40.

Agogo ambaye alianza kukipiga katika klabu ya Sheffield Wednesday na kufanikiwa kucheza mechi 27 za timu ya taifa ya Ghana na kufunga magoli 12.

Agogo alipatwa na ugonjwa wa Kiharusi mwaka 2015 ambao ulipelekea mpaka apate tabu ya kuongea.


 Chanzo cha kifo chake hakijaelezwa ni nini.

SOMA NA HII  GAMONDI AWAGEUKIA HAWA JAMAA KAMA UTANI