Home Uncategorized WATATU WANAOWANIA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA DUNIA WATAJWA

WATATU WANAOWANIA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA DUNIA WATAJWA


Shirikisho la Soka Barani Ulaya limetangaza wachezaji matatu wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa kiume wa UEFA wa msimu wa 2018/2019.

Wachezaji hao ni Lionel Mess wa Barcelona, Virgil Van Dijk wa Liverpool na Cristiano Ronaldo wa Juventus.

Mshindi atatangazwa August 29 na yatapanga makundi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya (Uefa Champions League)

SOMA NA HII  MIKAKATI YA AZAM FC KWENYE USAJILI YAWEKWA WAZI