Home Uncategorized YANGA WAANZA KUIWINDA TOWNSHIPP ROLLERS, LEO KUKINUKISHA DHIDI YA MLANDEGE

YANGA WAANZA KUIWINDA TOWNSHIPP ROLLERS, LEO KUKINUKISHA DHIDI YA MLANDEGE


JESHI zima la Yanga kwa sasa lipo visiwani Zanzibar kwa ajili ya maandalizi ya michuano ya kiamataifa ambapo Jumamosi watakuwa kazini kumenyana na Township Rollers uwanja wa Taifa.

Leo watakuwa kazini kumenyana na kikosi cha Mlandege FC majira ya saa 2:00 usiku.

Mwinyi Zahera, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa mchezo huo ni maalumu kwa ajili ya kuweka sawa kikosi kabla ya kuwavaa wapinzani wao kimataifa.

SOMA NA HII  FA FAINALI: SIMBA 2-0 NAMUNGO FC