BEKI wa zamani wa kikosi cha Brazil, Cafu amepata pigo kwa kufiwa na wanaye mkubwa aliyekuwa na umri wa miaka 30.
Mtoto huyo, Danilo Feliciano de Moraes alipata shambulizi la moyo wakati akiwa kwenye mchezo na rafiki zake Jumatano.
Ripoti zinaeleza kuwa Danilo alianza kulalamika dakika 10 baada ya kumaliza kucheza alipokuwa nyumbani kwa baba yake jijini Sao Paulona na alikimbizwa Hospital ya Albert Einstein na alifariki muda mchache licha ya jitihada za madaktari kupambania afya yake.
Sign in
Welcome! Log into your account
Forgot your password? Get help
Password recovery
Recover your password
A password will be e-mailed to you.