Mwenyekiti wa Kamati ya Hamasa ya Taifa Stars ambaye pia ni Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Paul Makonda leo amemkabidhi Golikipa wa Taifa Stars Juma kaseja ahadi aliyotoa jana ya kumpa kiasi cha Shilingi Milioni 10 kwa kuwa nyota wake wa mchezo wa jana dhidi ya Burundi.
Sign in
Welcome! Log into your account
Forgot your password? Get help
Password recovery
Recover your password
A password will be e-mailed to you.