Home Uncategorized LIGI KUU BARA: MBAO 0-0 SIMBA

LIGI KUU BARA: MBAO 0-0 SIMBA


Kipindi cha Kwanza: Mbao 0-0 Simba
Uwanja wa CCM Kirumba

Mchezo unaoendelea kwa sasa Uwanja wa CCM Kirumba ni kati ya Mbao FC na Simba kipindi cha kwanza hakuna mbabe.

Leo Januari 16 Mbao imewakaribisha Simba kwenye mchezo wao wa kwanza msimu huu ambao una ushindani mkubwa.

Mashabiki wamejitokeza kushuhudia ushindani mkubwa wa ligi ambayo inazidi kushika kasi.

SOMA NA HII  TANZANIA PRISONS V SIMBA KINAWAKA KESHO SOKOINE