Home Uncategorized HII HAPA RATIBA YA MECHI ZA TIMU YA TAIFA YA TANZANIA KWENYE...

HII HAPA RATIBA YA MECHI ZA TIMU YA TAIFA YA TANZANIA KWENYE MICHUANO YA CHAN

650
0


TIMU ya Taifa ya Tanzania mwezi Aprili itakuwa nchini Cameroon ikishiriki michuano ya CHAN ambayo inawahusu wachezaji wa ndani.

Stars imepangwa kundi D.Ratiba yao ipo namna hii:-

Zambia v Tanzania, Aprili 7 Uwanja wa Limbe saa 11:00 jioni.

Namibia v Tanzania, Aprili 11 saa 2:00 usiku, Uwanja wa Limbe.

Tanzania v Guinea, April 15 saa 2:00 usiku, Uwanja wa Dosala.