Home Uncategorized BABA DIAMOND ATUMA MAAGIZO KWA MWANAYE

BABA DIAMOND ATUMA MAAGIZO KWA MWANAYE


Baada ya tetesi kuzagaa kuwa mama wa msanii wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Sanura Kassim ‘Sandra’ ndiye chanzo cha staa huyo kubadili wanawake kama nguo, baba yake mzazi, Abdul Juma amemtaka kuchagua mwanamke wa kumuoa.

Akistorisha na Amani, Baba Diamond alisema muoaji ndiye anayetakiwa kuchagua mwanamke wa kuoa mwenyewe, hivyo Diamond asikubali kuchaguliwa au kuyumbishwa na mtu yeyote kuhusu mwanamke wa kumuoa.
SOMA NA HII  ISHU YA MORRISON YAKWAMA TENA LEO, SASA NI MPAKA KESHO