Home Uncategorized BOCCO:TUTAPAMBANA MBELE YA BIASHARA UNITED

BOCCO:TUTAPAMBANA MBELE YA BIASHARA UNITED

NAHODHA wa Simba, John Bocco amesema kuwa kesho watambana mbele ya Biashara United ili kupata pointi tatu muhimu.

Simba itaikaribisha Biashara United, Februari 22, Uwanja wa Taifa mchezo wa ligi wa pili kwa mzunguko wa pili.

Bocco amesema: “Ni mchezo wetu mgumu kutokana na ushindani uliopo, tunawaheshimu wapinzani wetu kwani ni timu nzuri ambayo tutakutana nayo ila nasi pia tupo vizuri tutapambana ili kupaya pointi tatu muhimu mashabiki watupe sapoti,” amesema.

Bocco ana mabao matatu ndani ya ligi kwa msimu huu wa 2019/20 na pasi moja ya bao.

SOMA NA HII  ISHU YA SIMBA KUYUMBA MSIMU WA 2020/21, SIMBA YAFAFANUA