Home Uncategorized TIMU YA MASAU BWIRE YAPAPASWA NA TFF, ALAMA NA BAO TATU ZAPELEKWA...

TIMU YA MASAU BWIRE YAPAPASWA NA TFF, ALAMA NA BAO TATU ZAPELEKWA PRISONS


Mechi namba 205- Ruvu Shooting vs Tanzania Prisons FC. Tanzania Prisons FC imepewa ushindi wa pointi tatu na mabao matatu kwenye mchezo uliokuwa ufanyike Februari 11, 2020.

Maamuzi hayo ni baada ya timu ya Ruvu Shooting FC ambayo ndiyo timu mwenyeji kushindwa kuleta gari la wagonjwa (Ambulance) uwanjani kama Kanuni ya 14 (2l) inavyosema na kusababisha mchezo kuvunjwa na mwamuzi baada ya kusubiri kwa dakika 30 bila gari hiyo kutokea.
SOMA NA HII  DUBE WA AZAM FC APANIA KUWA BORA