Home Uncategorized VPL:RUVU SHOOTING 0-1 YANGA

VPL:RUVU SHOOTING 0-1 YANGA


Ruvu Shooting 0-1 Yanga
Uwanja wa Uhuru

David Molinga Goool

Mchezo wa Ligi Kuu Uwanja wa Uhuru kati ya Ruvu Shooting na Yanga ni kipindi cha pili, Yanga inaongoza bao 1-0 lililofungwa na David Molinga kwa pasi ya Ditram Nchimbi

Mchezo wa kwanza mzunguko wa kwanza Yanga ilipoteza kwa kufungwa bao 1-0.

Leo ni mchezo wa kisasi kwa Yanga huku Ruvu wakipania kuendeleza rekodi yao waliyoanza nayo.

SOMA NA HII  IBRAHIM AJIBU ATOA LA MOYONI KWA YANGA