HAWA jamaa ni wakali wa kupiga pasi za mwisho kwenye timu zao wanazozipiga kwenye ligi kubwa tano Ulaya:-
Angel Di Maria anayekipiga PSG inayoshiriki Ligue 1 ikiwa nafasi ya Kwanza na pointi 68 ametoa pasi 14.
Alexander Arnold anakipiga Liverpool inayoshiriki EPL ametoa pasi 12 timu yake ipo nafasi ya Kwanza na pointi 82.
Christopher Nkunku anakipiga Leizpig inashiriki Bundesliga ipo nafasi ya tatu na pointi 50.
Jadon Sancho anakipiga ndani ya Dortmund inashiriki Bundesliga ipo nafasi ya pili na pointi 51.
Thomas Muller anakipiga Bayern Munich ipo nafasi ya Kwanza ikiwa na pointi 55 Kwenye Bundesliga.
Baba Lao ni De Bruyne anakipiga Manchester City inayoshiriki Ligi Kuu England ikiwa nafasi ya pili na pointi 57 ametoa pasi 17.
Sign in
Welcome! Log into your account
Forgot your password? Get help
Password recovery
Recover your password
A password will be e-mailed to you.