Home Uncategorized MANCHESTER UNITED YAKUBALIANA NA MATIC KWA DILI LA MWAKA MMOJA

MANCHESTER UNITED YAKUBALIANA NA MATIC KWA DILI LA MWAKA MMOJA

MABOSI wa Manchester United wamekubaliana na nyota wao Nemanja Matic ambaye ameongeza mkataba wake kuendelea kuitumikia klabu hiyo.
Nyota huyo mkataba wake ulikuwa unameguka baada ya miezi mitatu msimu huu na amekubali kuongeza mkataba wa mwaka mmoja ili aendelee kuwa mwana familia.
Mkataba wake utameguka mwaka 2021 ambapo kwa sasa ataendelea kudumu ndani ya Klabu hiyo.
Mabosi wengi wa timu kutoka Inter Milan, Barcelona na Real Madrid walikuwa wakimtazama kwa karibu ili dili lake lingebuma angesajiliwa bure.
SOMA NA HII  EXCLUSIVE: KAPOMBE AONGEZA MIAKA MIWILI MIWILI SIMBA