Home Uncategorized NYOTA CHELSEA AGOMEA DILI LA KUTUA JUVE KISA KUHOFIA KUSHUKA KIWANGO

NYOTA CHELSEA AGOMEA DILI LA KUTUA JUVE KISA KUHOFIA KUSHUKA KIWANGO


JUVENTUS imepanga kumshusha kikosini winga wa Chelsea Willian Borges da Silva, lakini nyota huyo wa Brazil amegomea dili hilo


Inaelezwa kuwa nyota huyo hataki kujiunga na Juventus kwa kuhofia kiwango chake kushuka chini ya Kocha Mkuu, Maurizio Sarri.

Sarri alikuwa Kocha wa nyota huyo mwenye miaka 31 kwa sasa ambaye anaamini akitua Juve atashuka kiwango.


Anahitaji kuongezewa mkataba wa miaka miwili lakini Chelsea wanataka kumpa mwaka mmoja jambo ambalo hakubaliani na mabosi wake hao.

SOMA NA HII  NCHIMBI ABADILI GIA YANGA