VPL: Uwanja wa Uhuru
Simba 4-0 Singida United
Goal: Boco dk 19
Goal : Kagere dk ya 1
Goal: Deo Kanda dk 12, 18 Kagere anafunga bao la kwanza dk ya 1 akimalizia pasi ya Tshabalala
SIMBA wakiwa na hasira za kufungwa na Yanga bao 1-0 Machi 8 Uwanja wa Taifa leo wanamenyana na Singida United Uwanja wa Uhuru.
Mashabiki waliojitokeza ni wachahche Uwanja wa Uhuru kushuhudia pambano la leo.
Sign in
Welcome! Log into your account
Forgot your password? Get help
Password recovery
Recover your password
A password will be e-mailed to you.