Home Uncategorized SIMBA YAIPA KASI YANGA SASA KESHO KUMALIZANA NA KMC

SIMBA YAIPA KASI YANGA SASA KESHO KUMALIZANA NA KMC

LUC Eymael, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa vijana wake wapo tayari kwa ajili ya mchezo wa kesho utakaopigwa Uwanja wa Taifa dhidi ya KMC.

Yanga itashuka uwanjani ikiwa na kumbukumbu ya kushinda bao 1-0 mbele ya Simba lililofungwa na Bernard Morrison kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Taifa Machi 8.

Eymael amesema:”Kila mchezaji yupo tayari na ari ni kubwa kuelekea mchezo wetu wa unaofuata ushindi mbele ya Simba umeongeza morali imani yetu wachezaji watafanya vema mashabiki watupe sapoti.”.

Yanga kwenye mchezo wa kwanza wa msimu huu mbele ya KMC ililazimisha sare ya kufungana bao 1-1

SOMA NA HII  BENCHIKHA AMPA ONYO HILI JEAN BALEKE