UONGOZI wa KMC umesema kuwa ni muhimu kwa kila mmoja kuchukua tahadhari ya Virusi vya Corona ili kuwa salama.
Akizungumza na Saleh Jembe, Ofisa Habari wa KMC, Anwar Binde amesema kuwa mambo mengi yamesimama kutokana na maambukizi ya Virusi vya Corona hivyo ni busara kila mmoja kuchukua tahadhari
“Kwa sasa mambo mengi yamesimama hivyo kwa wale ambao watakuwa hawachukui tahadhari ni busara iwapo wataamua kuchukua tahadhari.
“Kinachotakiwa ni kila mmoja kujali na kuchukua tahadhari kwani Virusi vya Corona vipo,” amesema.
Sign in
Welcome! Log into your account
Forgot your password? Get help
Password recovery
Recover your password
A password will be e-mailed to you.