Home Uncategorized BALOTELI BADO ANA URAFIKI NA NYAVU

BALOTELI BADO ANA URAFIKI NA NYAVU


MARIO Balotelli ni raia wa Italia anayekipiga ndani ya Klabu ya Brescia pamoja na timu ya Taifa ya Italia.

Amezaliwa Agosti 12,1990 ana umri wa miaka 29 jezi yake ni namba 45.

Nafasi yake ni mshambuliaji ambapo ametupia mabao matano kwenye mechi 19 alizocheza.

Miongoni mwa timu alizocheza ni pamoja na Nice msimu wa 2016/19 alicheza mechi 61 na kutupia mabao 33, Manchester City msimu wa 2010/13 mechi 54 alitupia mabao 20.

SOMA NA HII  BREAKING:MANCHESTER CITY YASHINDA RUFAA YAKE YA KUSHIRIKI LIGI YA MABINGWA ULAYA