Home Uncategorized DANI ALVES ATAJA TIMU ANAYOPENDA KWENDA KUSTAAFIA

DANI ALVES ATAJA TIMU ANAYOPENDA KWENDA KUSTAAFIA


DANI Alves, staa anayekipiga ndani ya Sao Paulo amesema kuwa haitakuwa vibaya kama atastaafia ndani ya Klabu ya Boca Junior.

Beki huyo ambaye amekipiga pia Barcelona amesema kuwa alikuwa anaipenda timu hiyo kwa muda mrefu. 


“Unajua ninaipenda nimekuwa nikiipenda kwa muda mrefu Klabu ya Boca sio kwa sababu watu wanaiongelea hapana ni klabu kubwa nimegundua ina kitu cha tofauti,” amesema.

SOMA NA HII  MANARA: WAMETUIBIA KAGERE!!! WAKIFUNGA NATOA LAKI - VIDEO