Home Namungo FC KOMBE LA SHIRIKISHO: NAMUNGO 0-3 RAJA CASABLANCA

KOMBE LA SHIRIKISHO: NAMUNGO 0-3 RAJA CASABLANCA

 


WAWAKILISHI wa Tanzania hatua ya Kombe la Shirikisho, Namungo FC wakiwa hatua ya makundi leo wanaipeperusha bendera ya Tanzania kwa kusaka ushindi mbele ya Raja Casablanca. 


Kwa sasa ni kipindi cha pili,  ubao unasoma Namungo 0-3 Raja Casablanca. 


Mchezo wa kwanza Namungo ikiwa ugenini ubao ulisoma Raja Casablanca 1-0 Namungo 

Relliants Lusajo anatoka anaingia Shiza Kichuya, Sixtus Sabilo Sabilo anaingia Erick Kwizera ni kipindi cha pili.


Mabao ya Raja Casablanca yametupiwa na Iliassa Hadadd dk 9, Dk 14 Fabrice Ngoma na Dk 36 Z.Habti

SOMA NA HII  KOMBE LA SHIRIKISHO: NAMUNGO 0-0 NKANA FC