Home Uncategorized HUYU NDIYE MCHEZAJI WA KWANZA KUFUTA MACHOZI YA KIPA WA LIVERPOOL

HUYU NDIYE MCHEZAJI WA KWANZA KUFUTA MACHOZI YA KIPA WA LIVERPOOL


LICHA ya kuwa na sifa ya kuwa na spidi ndani ya Uwanja huku mabosi wake Real Madrid wakiwa hawana mpango naye mkubwa ila ni shujaa aliyefuta machozi ya Loris Karius.

Msimu wa 2018/19 kwenye fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kipa wa Liverpool Karius alitoa maboko mawili ya maana yaliyosababisha timu yake ikapoteza kwa kuchapwa mabao 3-1.

Achana na kuumia kwa nyota wa Liverpool Mo Salah aliyefanyiwa hivyo na Ramos ngoma ilikuwa Kwenye machozi ya kipa huyo wa Liverpool.


Aliomba msamaha kwa mashabiki wa Liverpool ambao kama hawakumuelewa akabaki analia uwanjani.

Mchezaji wa kwanza kumpa pole na kumshusha presha alikuwa ni Gareth Bale bishoo flani hivi ila anajali, huu ndio mpira.

Kwa sasa Karius mwenye miaka 26 yupo zake ndani ya Klabu ya Besiktas alikotolewa kwa mkopo.

SOMA NA HII  CHAMPIONI TUNAENDELEA KUJALI VITA DHIDI YA CORONA KWA VITENDO