Home Uncategorized KESHO NDANI YA SPOTIXTRA SVEN AMCHAMBUA STRAIKA MPYA

KESHO NDANI YA SPOTIXTRA SVEN AMCHAMBUA STRAIKA MPYA

Kabaaang! Spoti Xtra limemfikia Kocha wa Simba, Sven Vandenbroeck na kuzungumza naye kwa takribani dakika 56.

Nunua gazeti lako kesho
Alhamisi kwa Tsh 500 tu, usome makala exclusive ya kocha huyo raia wa Ubelgiji.

Humo ndani amemchambua straika mpya atakayetua Simba, hatma ya Said Ndemla, Ibrahim Ajibu, pia sakata la Clatous Chama kwenda Yanga.

Usisahau kwamba kwa kununua Spoti Xtra, una nafasi ya kujishindia gari mpya aina ya Toyota FunCrago yenye thamani ya Tsh milioni 10 kupitia Bahati Nasibu ya Baba Lao.

UNAKOSAJE KWA MFANO SASA!!!

SOMA NA HII  SASA MAMBO KWA ULIMWENGU NI SAFI NDANI YA TP MAZEMBE, KESHO KUTAMBULISHWA RASMI