Home Uncategorized KOSI LA MAUAJI LA YANGA NI BALAA, UNAAMBIWA TANO ZINAKUHUSU MAZIMA

KOSI LA MAUAJI LA YANGA NI BALAA, UNAAMBIWA TANO ZINAKUHUSU MAZIMA


KIUNGO Mshambuliaji wa Yanga Mrisho Ngasa amejipa jukumu la kupanga kikosi cha kwanza cha Yanga anachoamini kuwa kitakuwa ni balaa uwanjani ambapo kinaweza kumpiga mpinzani wao mabao Yanga.

Ngasa ambaye kwa sasa yupo zake Bagamoyo kutokana na Ligi Kuu Bara kusimamishwa kutokana na maambukizi ya Virusi vya Corona.

Kiungo huyo amesema kuwa wachezaji ambao hajawataja wana udhuru ikiwa ni pamoja na matatizo ya kifamilia na ameweka msisitizo kwamba hakuna ishu ya kusema hawajazoeana wale aliowapanga na mwisho anawataka mashabiki na dunia nzima kuendelea kuchukua tahadhari dhidi ya Corona.

Kikosi chake hiki hapa:-

Metacha Mnata

Juma Abdul

Jaffary Mohaemd

Kelvin Yondan

Juma Makapu

Fei Toto

Bernard Morrison

Haruna Niyonzima

Tariq Seif

Mrisho Ngassa

Mapinduzi Balama

Benchi 

Farouk Shikalo

Ally Mtoni

Deus Kaseke

Papy Tshishimbi

Ditram Nchimbi

Mohamed Banka

David Molinga

SOMA NA HII  NIYONZIMA APEWA SOMO NA SAMAKIBA